• HABARI MPYA

  Sunday, September 12, 2021

  MTANZANIA ASAJILIWA LIGI KUU YA SERBIA


  KIUNGO chipukizi Mtanzania, Morris Michael Abraham amesajiliwa na FK Spartak Subotica ya Ligi Kuu ya Serbia kwa mkataba wa miaka 4. Hongera kwa mchezaji huyo wa timu za taifa za vijana nchini na kila la heri kwake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTANZANIA ASAJILIWA LIGI KUU YA SERBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top