• HABARI MPYA

  Sunday, September 19, 2021

  YANGA YATOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA


  VIGOGO, Yanga SC wamechapwa 1-0 na wenyeji Rivers United, katika mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria.
  Yanga wanaaga mashindano hayo kwa kichapo cha jumla cha 2-0 kufuatia kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YATOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top