• HABARI MPYA

  Sunday, September 19, 2021

  CHELSEA YAIPIGA SPURS 3-0 LONDON

   CHELSEA imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.
  Mabao ya The Blues leo yamefungwa na Thiago Silva dakika ya 49, N'Golo Kanté dakika ya 57 na Antonio Rüdiger dakika ya 90 na ushei.
  Chelsea inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo, sawa na Liverpool na Manchester United, lakini sasa inaongoza ligi kwa wastani wa mabao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIPIGA SPURS 3-0 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top