KIPA Mganda wa Azam FC, Mathias Kigonya akitoa maelekezo kwa walinzi wake wakati wa mazoezi yao Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Septemba 27.
0 comments:
Post a Comment