• HABARI MPYA

  Monday, September 20, 2021

  YANGA SC WAREJEA NYUMBANI KINYONGE


  KIKOSI cha
   Yanga kimarejea Alfajiri ya leo Dares Salaam baada ya ya kuchapwa 1-0 na wenyeji Rivers United jana katika mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Jijini Port Harcourt, Nigeria.


  Yanga imeaga mashindano hayo kwa kichapo cha jumla cha 2-0 kufuatia kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam – na sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Simba Jumamosi Uwanja Benjamin Mkapa, Jijini.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WAREJEA NYUMBANI KINYONGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top