• HABARI MPYA

  Saturday, September 25, 2021

  YANGA WAKIFURAHIA NA NGAO YAO LEO MKAPA


  WACHEZAJI wa Yanga wakifurahia na Ngao yao ya Jamii baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu, Yanga bao pekee la mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAKIFURAHIA NA NGAO YAO LEO MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top