BEKI Mkongo wa Simba SC, Henock Inonga 'Varane' akijifua katika mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini.
0 comments:
Post a Comment