// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SEMINA YA WARATIBU, MAAFISA HABARI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SEMINA YA WARATIBU, MAAFISA HABARI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Tuesday, September 21, 2021

  SEMINA YA WARATIBU, MAAFISA HABARI LIGI KUU


  MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Almasi Kasongo akitoa somo katika semina ya Waratibu na Maafisa Habari wa michezo ya Ligi.   Semina hiyo iliyofunguliwa asubuhi ya leo na katibu mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao inafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SEMINA YA WARATIBU, MAAFISA HABARI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top