• HABARI MPYA

  Wednesday, September 22, 2021

  MAN CITY YASHINDA 6-1 CARABAO

  WENYEJI, Manchester City wamepata ushindi mnono wa 6-1 dhidi ya Wycombe Wanderers katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa Jumanne Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Brandon Alex Graham Hanlan alianza kuifungia Wycombe Wanderers dakika ya 22, kabla ya Man City kutokea nyuma kwa mabao ya Kevin De Bruyne dakika ya 29, Riyad Mahrez mawili dakika ya 43 na 83, Philip Foden dakika ya 45 na ushei, Ferran Torres dakika ya 71 na Cole Palmer dakika ya 88.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 6-1 CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top