• HABARI MPYA

  Saturday, September 11, 2021

  LUKAKU AFUNGA MAWILI CHELSEA YASHINDA 3-0

   MSHAMBULIAJI Mbelgiji, Romelu Lukaku amefunga mabao mawili dakika ya 15 na 90 na ushei Chelsea ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Aston Villa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Bao lingine la Chelsea limefungwa na Mateo Kovačić dakika ya 49 na kwa ushindi huo The Blues wanafikisha pointi 10 baada ya mechi nne na kila nafasi ya pili wakizidiwa wastani wa mabao na Manchester United.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI CHELSEA YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top