• HABARI MPYA

  Monday, September 13, 2021

  RAIS SAMIA AITENGA WIZARA YA MICHEZO NA HABARI

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameondoa kitengo cha Habari katika Wizara ya Michezo na kukihamishia Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
  Sasa kutakuwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari chini ya Waziri Dk Ashatu Kijaji na Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo chini ya Waziri Innocent Bashungwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AITENGA WIZARA YA MICHEZO NA HABARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top