Mwanzo > YANGA > MWAMBUSI AHITIMU UKUFUNZI WA CAF HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA MWAMBUSI AHITIMU UKUFUNZI WA CAF MKURUGENZI wa Idara ya Michezo Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Yusuph Singo akimkabidhi cheti cha kuhitimu Kozi ya Ukufunzi ya CAF aliyewahi kuwa kocha wa Yanga SC, Juma Mwambusi baada ya kuhitimu mafunzo ya siku 10 yaliyoshirikisha watu 11. Friday, September 17, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA
0 comments:
Post a Comment