• HABARI MPYA

  Monday, September 27, 2021

  YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA


  KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Bukoba mkoani Kagera leo baada ya kuondoka Dar es Salaam asubuhi ya leo, tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Jumatano Uwanja wa Kaitaba.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top