• HABARI MPYA

  Friday, September 24, 2021

  AFRICARIERS MDHAMINI MPYA SIMBA SC


  KLABU ya soka ya Simba SC imeingia mkataba wa miaka minne wa udhamini wa usafiri wa ardhini na kampuni ya Africariers Limited utakaoiwezesha klabu hiyo kupewa mabasi matatu ya kusafirisha timu za wakubwa, wanawake na vijana.  Pia kampuni hiyo ya Africariers inakuwa mdhamini mkuu wa timu ya vijana ya Simba SC ya chini ya miaka 17.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AFRICARIERS MDHAMINI MPYA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top