• HABARI MPYA

  Friday, September 17, 2021

  CAF YAKATAA MASHABIKI MECHI YA BIASHARA DAR


  SHIRIKISHO la SOKA Afrika (CAF) limesistiza kutoruhusu mashabiki katika mechi ya marudiano ya Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho barani baina ya wenyeji, Biashara United ya Mara na FC Dikhil Jumamosi Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Biashara United wanahitaji kuulinda ushindi wao wa ugenini wa 1-0 ili Djibouti ili kusonga mbele ambako watakutana na mshindi kati ya ya Hay Alwady Nyala ya Sudan na Al Ahli Tirpoli ya Libya.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YAKATAA MASHABIKI MECHI YA BIASHARA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top