• HABARI MPYA

  Friday, September 17, 2021

  SIMBA WAHAMASISHA MASHABIKI SIMBA DAY


  UONGOZI wa Simba umewahamasisha wapenzi na mashabiki wake kuendelea kukata tiketi kwa ajili ya tamasha la Simba Day Jumapili licha ya changamoto zilizojitokeza.
  Simba watamenyana na mabingwa mara nne Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WAHAMASISHA MASHABIKI SIMBA DAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top