• HABARI MPYA

  Friday, September 17, 2021

  IDDI NADO ANAVYOWAPASHIA WASOMALI CHAMAZI

   KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Suleiman ‘Nado’ akijifua kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Horseed ya Somalia Jumamosi Saa 10:00 jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. 
  Azam FC inahitaji hata sare ili kusonga mbele baada ya ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa kwanza hapo hapo Chamazi Jumamosi iliyopita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IDDI NADO ANAVYOWAPASHIA WASOMALI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top