• HABARI MPYA

  Sunday, September 12, 2021

  YANGA SC YACHAPWA 1-0 NYUMBANI NA RIVERS

   

  WENYEJI, Yanga SC wameshindwa kutumia vizuri jina ya yao baada ya kuchapwa 1-0 na Rivers United ya Nigeria katika mechi ya kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Bao lililoizamisha Yanga leo limefungwa na Omoduemuke Moses dakika ya 51 akitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Yanga na ufupi wa kipa wao, Djigui Diarra. 
  Yanga SC sasa watatakiwa kuupanda mlima kwenye mechi ya marudiano Septemba 19 Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria kwa kushinda si chini ya mabao 2-0.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YACHAPWA 1-0 NYUMBANI NA RIVERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top