• HABARI MPYA

  Friday, September 24, 2021

  TAJIRI GHALIB NA MAKOCHA YANGA


  MFADHILI Mkuu wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed akipata chakula na viongozi na Makocha wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, Mkongo Mwinyi Zahera na Mrundi Cedric Kaze kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Yanga kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  Mechi hiyo itachezeshwa na refa chipukizi, Ramadhani Kayoko atakayesaidiwa na Frank Kombe na Soud Lila wote wa Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAJIRI GHALIB NA MAKOCHA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top