• HABARI MPYA

  Sunday, September 12, 2021

  KMKM YACHAPWA 2-0 NA AL ITTIHAD AMAAN

   WENYEJI, KMKM wamechapwa mabao 2-0 na Al Ittihad ya Libya katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Mabao yaliyoizamisha KMKM leo yamefungwa na Muad Eisay dakika ya 45 na Rabia Al Shadi dakika ya 84 na timu hizo zitarudiana Septemba 19 Uwanja wa Taïeb Mhiri Jijini Sfax, Tunisia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM YACHAPWA 2-0 NA AL ITTIHAD AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top