• HABARI MPYA

  Wednesday, September 01, 2021

  BIN KLEB, SEIF MAGARI WATEULIWA KAMATI YA USHINDI YANGA

   

  KAMATI ya Utendaji ya Yanga imewateua wanachama maarufu na viongozi wa zamani wa klabu hiyo, Seif Ahmed 'Seif Magari' na Abdallah Ahmed Bin Kleb kuwa sehemu ya Kamati ya Mashindano ya klabu.
  Taarifa ya klabu leo imesema kwamba Kamati hiyo itakuwa chini ya Mwenyekiti, Rodgers Gumbo, wakati Wajumbe wengine ni Hamad Islam, Lucas Mashauri, Davis Mosha, Arafat Haji, Hersi Said na Pelegrinius Rutayuga.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIN KLEB, SEIF MAGARI WATEULIWA KAMATI YA USHINDI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top