• HABARI MPYA

  Thursday, September 23, 2021

  CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI

  TIMU ya Chelsea imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 na Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Reece James ndiye aliyeifungia mkwaju wa penalti ya ushindi The Blues baada ya Chelsea kutangulia  kwa bao la Timo Werner dakika ya 54, kabla ya Cameron Archer kuisawazishia Aston Villa dakika ya  64.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top