• HABARI MPYA

  Saturday, September 18, 2021

  TP MAZEMBE WAWASILI KUIVAA SIMBA KESHO

   MABINGWA mara nne Afrika, TP Mazembe wamewasili mchana wa leo Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Simba SC kwenye tamasha la Simba Day kesho jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TP MAZEMBE WAWASILI KUIVAA SIMBA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top