• HABARI MPYA

  Wednesday, September 15, 2021

  LEWANDOWSKI AWAADHIBU BARCA CAMP NOU

   WENYEJI, Barcelona wameduwazwa nyumbani baada ya kuchapwa 3-0 na Bayern Munich katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Camp Nou Jijini Barcelona.
  Mabao yaliyoizamisha Barca yamefungwa na Thomas Muller dakika ya 34 na Robert Lewandowski mawili dakika ya 56 na 85 katika mchezo ambao mashabiki walipeperusha bango la kumtaka kocha Ronald Koeman aondoke Camp Nou.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AWAADHIBU BARCA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top