• HABARI MPYA

  Friday, September 10, 2021

  HITIMANA KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA SC


  KLABU ya Simba imeimarisha benchi lake la Ufundi kwa kumteua Mnyarwanda Thierry Hitimana (42), kuwa kocha Msaidizi wa klabu, akichukua nafasi ya Suleiman Matola ambaye yupo masomoni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HITIMANA KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top