• HABARI MPYA

  Wednesday, September 15, 2021

  UBOLOZI WA MAREKANI KUISAPOTI TFF

   MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Mirambo jana amekutana na Maofisa wa Ubalozi wa Marekani ambao lengo lao ni kuangalia maeneo mbalimbali ya maendeleo ya ambayo Ubalozi huo utashiriki.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBOLOZI WA MAREKANI KUISAPOTI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top