• HABARI MPYA

  Wednesday, September 15, 2021

  PUMZIKA KWA AMANI ZACHARIA HANS POPPE  MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe umezikwa jioni ya leo katika Makaburi ya Makanyagio Don Bosco mkoani Iringa baada ya ibada ya kuuaga mapema aaubuhi katika Kanisa Katoliki la Iringa Parokia ya Mshindo.


  Hans Poppe, Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), alifariki dunia Septemba 10 hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PUMZIKA KWA AMANI ZACHARIA HANS POPPE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top