• HABARI MPYA

  Saturday, September 18, 2021

  SIMBA SC WAINGIA MKATABA NA ATCL

  KLABU ya Simba SC imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)  wa ushirikiano wa usafiri wa Anga.


  Mkataba huo ulisainiwa jana baina ya Mkurugenzi wa ATCL, Mhandisi Ladislaus Matindi na Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAINGIA MKATABA NA ATCL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top