• HABARI MPYA

  Thursday, September 23, 2021

  KLABU ZAKUMBUSHWA KULIPIA LESENI


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitaka klabu zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kulipia ada za leseni za wachezaji pamoja na Maafisa wa benchi la Ufundi.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KLABU ZAKUMBUSHWA KULIPIA LESENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top