• HABARI MPYA

  Sunday, September 26, 2021

  JOSHUA AVULIWA UBINGWA WA DUNIA


  BONDIA Anthony Joshua amevuliwa mataji yake ya ubingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa juu baada ya kuchapwakwa poonti Oleksandr Usyk wa Ukraine usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London, Uingereza. 


  Joshua, mwenye umri wa miaka 31 alionekana kabisa kushindwa kummmudu Usyk ambaye majaji wote walima ushindi wa pointi 117-112, 116-112 na 115-113 na sasa huyo ndiye bingwa wa mataji ya WBO, WBA, IBF na IBO.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSHUA AVULIWA UBINGWA WA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top