• HABARI MPYA

  Wednesday, September 22, 2021

  TANZANITES WAIFUATA ERITREA KOMBE LA DUNIA


  KIKOSI cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanites kimeondoka Dar es Salaam leo asubuhi kwenda Eritrea kwa ajili ya mechi na wenyeji Jumamosi kufuzu Kombe la Dunia kuanzia Agosti 10 hadi 28 mwakani nchini Costa Rica, kabla ya kurejea Dar es Salaam kwa mechi ya marudiano itapigwa Oktoba 9. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANITES WAIFUATA ERITREA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top