• HABARI MPYA

  Wednesday, September 15, 2021

  BIASHARA WAJIPANGA KUIMALIZA FC DIKHIL DAR


  WACHEZAJI wa Biashara United wakiwa mazoezini Uwanja wa mdogo wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya FC Dikhil ya Djibouti.


  Mchezo huo utafanyika Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam baada ya Biashara United kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza Ijumaa iliyopita Djibouti na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya Hay Alwady Nyala ya Sudan na Al Ahli Tirpoli ya Libya.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIASHARA WAJIPANGA KUIMALIZA FC DIKHIL DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top