• HABARI MPYA

  Saturday, September 18, 2021

  ALHAJ MUHIDDIN NDOLANGA AFARIKI DUNIA


  ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho, TFF, kuazia 1992 hadi 2004, Alhaj Muhiddin Ahmed Ndolanga amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ, Mikocheni, Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALHAJ MUHIDDIN NDOLANGA AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top