• HABARI MPYA

  Saturday, September 25, 2021

  TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0 ASMARA

   TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Eritrea leo Uwanja wa Asmara Jijini Asmara katika mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia mwakani Costa Rica.
  Tanzanite inafunga safari kurejea Dar es Salaam kujipanga kwa mchezo wa marudiano Oktoba 9 nchini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0 ASMARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top