• HABARI MPYA

  Thursday, September 23, 2021

  MAN UNITED YATOLEWA CARABAO

  BAO pekee la Manuel Lanzini dakika ya tisa limeipa West Ham United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford usiku huu.
  Kiungo huyo Muargentina alimchambua vizuri kipa Dean Henderson kuipa tiketi ya kusonga mbele West Ham kwenye michuano hiyo, maarufu kama Carabao Cup huku Man United ikiaga mapema.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATOLEWA CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top