• HABARI MPYA

  Saturday, September 18, 2021

  ARSENAL YANG’ARA UGENINI ENGLAND

   BAO pekee la kiungo Mnorway, Martin Odegaard dakika ya 30, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor.
  Ushindi huo wa pili wa msimu katika mechi tano unaifanya Arsenal ifikishe pointi sita, wakati Burnley inabaki na pointi moja baada ya mechi tano pia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG’ARA UGENINI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top