• HABARI MPYA

  Thursday, September 23, 2021

  ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND

   TIMU ya Arsenal imetinga Raundi ya Nne ya michuano ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC Wimbledon usiku huu Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette kwa penalti dakika ya 11, Emile Smith Rowe dakika ya 77 na Eddie Nketiah dakika ya 80.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top