• HABARI MPYA

  Sunday, September 19, 2021

  SIMBA YAPIGWA 1-0 NA MAZEMBE DAR


  BAO pekee la Baleke Jean dakika ya 84 limetosha kuwapa TP Mazembe ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAPIGWA 1-0 NA MAZEMBE DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top