• HABARI MPYA

  Saturday, September 25, 2021

  BRUNO AKOSA PENALTI, MAN U YAPIGWA


  KIUNGO Mreno, Bruno Fernandes amekosa penalti dakika ya 90 na ushei, Manchester United ikichapwa 1-0 nyumbani na Aston Villa bao pekee la Kourtney Hause dakika ya 88 Uwanja wa Old Trafford leo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRUNO AKOSA PENALTI, MAN U YAPIGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top