• HABARI MPYA

  Sunday, September 19, 2021

  MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 2-1

   

  TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
  Mshambuliaji Mualgeria, Mohamed Said Benrahma alianza kuifungia West Ham dakika ya 30, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Man United dakika ya 35 na Jesse Lingard kufunga la ushindi dakika ya 89.
  Man United inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa wastani wa mabao tu na Liverpool baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top