• HABARI MPYA

  Thursday, September 30, 2021

  BARCELONA YAPIGWA TENA LIGI YA MABINGWA


  WENYEJI, Benfica wamewatandika Barcelona mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno.
  Mabao ya Benfica jana yamefungwa na Darwin Núñez dakika ya tatu na 79  kwa penalti na Rafa Silva dakika ya 69 na kwa kipigo hicho cha pili mfululizo, Barcelona inashika mkia nyuma ya Dinamo Kiev yenye pointi moja.
  Bayern Munich wanaongoza sasa kwa pointi zao sita, wakifuatiwa na Benfica yenye pointi nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAPIGWA TENA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top