• HABARI MPYA

  Tuesday, September 21, 2021

  TIK-TAK LA FEISAL SALUM MAZOEZINI


  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum akibinuka tik tak katika mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wa jadi, Simba  Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini.  Nahodha wa Yanga, beki Bakari Nondo Mwamnyeto akijifua katika mazoezi ya timu yake leo Kigamboni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIK-TAK LA FEISAL SALUM MAZOEZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top