• HABARI MPYA

  Tuesday, December 02, 2014

  SERGE WAWA ATUA AZAM FC KUANZA KAZI RASMI

  Beki mpya wa Azam FC, Serge Wawa Pascal, akizungumza na Waandishi wa Habari leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka kwao Ivory Coast, tayari kuanza rasmi kazi kufuatia kusaini Mkataba wa mwaka mmoja mwezi uliopita akitokea El Merreikh ya Sudan.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERGE WAWA ATUA AZAM FC KUANZA KAZI RASMI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top