• HABARI MPYA

  Saturday, December 13, 2014

  RONALDO APIGA MBILI REAL IKIUA 4-1 LA LIGA

  LICHA ya kuwa ugenini, Real Madrid imeshinda mabao 4-1 katika mchezo wa La Liga usiku huu dhidi ya wenyeji Almeria. 
  Mabao ya Real yamefungwa na Isco dakika ya 34, Gareth Bale dakika ya 42 na Cristiano Ronaldo dakika ya 81, wakati bao pekee la Almeria limefungwa na Rabasco dakika ya 39.
  Huo ni ushindi wa 20 mfululizo kwa Real na hivyo klabu hiyo kuweka rekodi mpya. 
  Kikosi cha Almeria kilikuwa: Martinez, Machado, Navarro, Trujillo, Jimenez, Garcia Rabasco, Partey, Ortega, Soriano/Da Silva dk67, Dubarbier/Zongo dk59 na Hemed. 
  Real Madrid: Casillas, Carvajal. Pepe, Varane, Marcelo, Illarramendi, Kroos, Isco, Bale, Benzema/Coentrao dk85 na Ronaldo.
  Despite scoring twice, Ronaldo cut a frustrated figure for the majority of the La Liga clash on Friday night
  Despite scoring twice, Ronaldo cut a frustrated figure for the majority of the La Liga clash on Friday night
  Bale beats Thomas Teye Partey to the ball before heading Madrid into the lead during the La Liga clash
  Bale beats Thomas Teye Partey to the ball before heading Madrid into the lead during the La Liga clash

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2872026/Almeria-1-4-Real-Madrid-Isco-Gareth-Bale-Cristiano-Ronaldo-strike-hand-Carlo-Ancelotti-s-20th-consecutive-victory.html#ixzz3Ljegg0eN 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI REAL IKIUA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top