• HABARI MPYA

  Saturday, December 13, 2014

  AMIR KHAN NA DEVON NGOMA DROO

  MABONDIA Amir Khan na Devon Alexander wamelingana uzito, Paundi 147 kila mmoja kuelekea pambano lao la uzito wa Welter usikua wa kuamkia kesho ukumbi MGM Grand, Las Vegas, Marekani.
  Lakini ni Khan aliyelazimika kujifua zaidi kukata uzito wa Pauni 10 ili kufikiwa kiwango halisi kinachotakiwa katika kipengele cha Welter.
  Muingereza Khan anatakiwa kushinda pambano hilo ili kuweka hai matumani ya kupigana na Floyd Mayweather Jr. 
  Amir Khan (left) and Devon Alexander both weighed in at 147lbs ahead of their welterweight bout
  Amir Khan (kushoto) na Devon Alexander wamelingana uzito Paundi 147 kila mmoja kuelekea pambano lao la Welter
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMIR KHAN NA DEVON NGOMA DROO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top