KIUNGO wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Khalid Abeid akimtoka mchezaji wa Kongo Brazaville katika mchezo wa kirafiki kuazimisha miaka 10 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 9, mwaka 1971 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 0-0.
0 comments:
Post a Comment