• HABARI MPYA

    Friday, January 01, 2021

    MAREFA WANNE WA TANZANIA WATEULIWA KUCHEZESHA MICHUANO MAALUM YA KIRAFIKI NCHINI RWANDA

     

    MAREFA wanne wa Tanzania wamepata nafasi ya kuchezesha michuano maalum nchini Rwanda ambayo inatarajiwa kuanza Januari 7 hadi 11, mwaka huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREFA WANNE WA TANZANIA WATEULIWA KUCHEZESHA MICHUANO MAALUM YA KIRAFIKI NCHINI RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top