• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 28, 2021

  TFF YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA NA CHUO CHA UHASIBU MKOANI ARUSHA  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Eliamani Sedokeya wakibadilishana mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo ya kukuza miundombinu na mpira wa miguu huku wakishuhudiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, kwenye hafla ya utiaji saini iliyofanyika Jumatano ukumbi wa IAA, Arusha.  Rais wa TFF Wallace Karia na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Profesa Eliamani Sedokeya wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo ya kukuza miundombinu na mpira wa miguu huku wakishuhudiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa, kwenye hafla ya utiaji saini iliyofanyika IAA, Arusha

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TFF YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA NA CHUO CHA UHASIBU MKOANI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top