• HABARI MPYA

  Friday, January 15, 2021

  TAIFA STARS WAKIJIVUA MJINI LIMBE LEO KUJIANDAA NA MCHEZO WA UFUNGUZI CHAN DHIDI YA ZAMBIA JUMANNE

  Beki Bakari Nondo Mwamnyeto akimtoka mwenzake kwenye mazoezi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mjini Limbe nchini Cameroon leo kujiandaa na mchezo wao wa ufunguzi wa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Zambia Jumanne ijayo.

  Makipa Daniel Mgore (kulia), Juma Kaseja (katikati) na Aishi Manula (kushoto) wakati wa mazoezi ya Taifa Stars mjini Limbe nchini Cameroon leo kujiandaa na mchezo wao wa ufunguzi wa Fainali za  CHAN dhidi ya Zambia Jumanne.

  Katika fainali hizo zinazotarajiwa kuanza Jumamosi hadi Februari 7, 2021, Taifa Stars itacheza mechi nyingine dhidi ya Namibia Januari 23 na Guinea Januari 27.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIJIVUA MJINI LIMBE LEO KUJIANDAA NA MCHEZO WA UFUNGUZI CHAN DHIDI YA ZAMBIA JUMANNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top