• HABARI MPYA

  Friday, January 15, 2021

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON


  TIMU ya Arsenal jana imelazimishwa sare ya 0-0 na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, wimbi lao la ushindi wa mechi tatu mfululizo likikatishwa na kikosi cha Roy Hodgson.
  Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta anapaswa kumshukuru mno kipa Bernd Leno kwa kuokoa mchomo mkali wa Christian Benteke. Arsenal inabaki nafasi ya 11 na pointi zake 24 za mechi 18, wakati Crystal Palace inabaki nafasi ya 13 na pointi zake 23 za mechi 18 pia
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top